Tuesday, September 14, 2010

KWA NINI UMSKINI UNAZIDI KUONGEZEKA BARANI AFURIKA?

Mara nyingi watu hujiuliza swala hili na baadaye hawenda wakakosa jibu sahihi kwa swala hilo. kwa upande mwingine wanasema kwamba sababu ya umaskini huwo ni tatizo la kuwa na uongozi baya katika bala hili. viongozi wengi wanaopofika madarakani husahau kile ambacho wameteuliwa kufanya na huenda wakatumia nafasi hiyo ya uongozi katika shughuli zawo binafsi. fedha za serikali nyingi barani humu huishia katika ununuzi wa silaha na zingine zinatumiwa wakati wa ukarabati wa miundo mbino ambayo imeharibiwa na vita vya kila wakati barani humu. Je, wewe ungepata muda wa kujiuliza lini umaskini huu utakapomalizika?
Jibu ni kwamba umaskini utamalizika wakati waafurika tutakapojiunga na kutumikia serikali zetu bila kupoteza wakati katika machafuko na vurugu katika bara hili tajili kuliko yote dunuiani. wakati tutakapo kuwa na amani ya kudumu, bara letu litakuwa nyota ya dunia.ikumukwe kuwa kidole kimoja hakivunji chawa, ni kusema kwamba nguvu zako na zangu zinatakiwa katika misada inayohitajiwa ili uchumi wetu ufike juu, na hilo litakuwa lema wakati tutakapokuwa na bara bila umaskini, maradhi na mengine mengi. Baada ya dhiki faraja, ingawa bara letu limejikuta mara nyingi katika vita mbalimbali lakini wakati unafika ili waafurika waungane kwa kutafutia amani namaendeleo sehemu hiyi ya dunia. Mchango wako kupititia mtandao huu unatakiwa ili tupashanye fikira na maoni kulingana na swala hili. Tufanye tuliyoambiwa  tutapata matunda mema kutokaka na mema tuliyotenda
Ikiwa wewe una swali au maoni 
Twandikie kwa kutumia anuani ifuatayo; vickange@gmail.com
                                                             angevict69@yahoo.com
                                                          Tel: 0783690804
TUTAKAPO PATA MAONI YAKO MUDA WOWOTE UTAPOKEA BARUWA YA SWHUKURANI KUTOKA HAPA KWETU.  

No comments:

Post a Comment